Embe ya Masala

Status
Not open for further replies.

Electronics4u

Village Senator
Staff member
#4
@Nefertities enjoy something from Mombasa, Nimeosha na mineral water kwahivo usijali, @mabenda4 nimemona pale Nyali bridge na pujo yake akipakia maji kwa mitungi ya kuomba, Hope this trade fair ipite haraka, from gunshots during rehersals to tanks kukwama kwa barabara, mbisha ninayo lakini siweki, wanjohi bado hajatokelezea View attachment 11779 leo, naskia yuko deep in the Amazon jungle
Yummy. Si utanitumania hizo uziwache pare nilikwambiaga?;)
btw naona kaa ulinikausha pande ya ASAS mkiwa na Daktari @Luther12 :D. Messages hazikuji kutoka Sato.:eek: Although nakuanga shini ya maji kwa hiyo group,(I opted to listen the the experts rather than make ignorant comments;)), i read each and every comment and its been great.
 
bjurmann

Village Elder
#6

He he me too kwa hiyo group. Natafuta pesa Mzee Swallow akuje na toolbox.
 
pamba

Village Sponsor
#7
@Nefertities enjoy something from Mombasa, Nimeosha na mineral water kwahivo usijali, @mabenda4 nimemona pale Nyali bridge na pujo yake akipakia maji kwa mitungi ya kuomba, Hope this trade fair ipite haraka, from gunshots during rehersals to tanks kukwama kwa barabara, mbisha ninayo lakini siweki, wanjohi bado hajatokelezea View attachment 11779 leo, naskia yuko deep in the Amazon jungle
Naskia wakiwa na web mende wamefika Kalahari desert.
 
bjurmann

Village Elder
#11
adding you back, manki alikua amekuweka equator, hehehehehehehehehehe
But sincerely speaking hivi mnasemaga eti leo natafuta 7 degrees west does it mean huwa mtu physically goes up there kuzunguzungusha ki dish shouting to the one in the house...hapo...hapo...hapo..hapo?
 
Meria Mata

Elder Statesman
#13
But sincerely speaking hivi mnasemaga eti leo natafuta 7 degrees west does it mean huwa mtu physically goes up there kuzunguzungusha ki dish shouting to the one in the house...hapo...hapo...hapo..hapo?
noooo, tushapita hapo, kuna specialized equipment, kitu inaitwa sat finder, you go with it to your dish kutafta hio 7w, within 3 minutes yu done.
imgres.jpg
kuna analog, ngiri moja hivi na
images.jpg
digital, this are from 15 to 45 k
images.jpg
this is how you connect a sat finder to an lnb, haka kaanalog hua kascream kweli kweli ukipata satelite, hio digital is like a portable tv
 
Status
Not open for further replies.

Top