Embe ya Masala

@Nefertities enjoy something from Mombasa, Nimeosha na mineral water kwahivo usijali, @mabenda4 nimemona pale Nyali bridge na pujo yake akipakia maji kwa mitungi ya kuomba, Hope this trade fair ipite haraka, from gunshots during rehersals to tanks kukwama kwa barabara, mbisha ninayo lakini siweki, wanjohi bado hajatokelezea[ATTACH=full]11779[/ATTACH] leo, naskia yuko deep in the Amazon jungle

9 Likes

:D:D:D:D So nice of you. ty

2 Likes

me rn

[ATTACH=full]11780[/ATTACH]

12 Likes

Yummy. Si utanitumania hizo uziwache pare nilikwambiaga?:wink:
btw naona kaa ulinikausha pande ya ASAS mkiwa na Daktari @Luther12 :D. Messages hazikuji kutoka Sato.:eek: Although nakuanga shini ya maji kwa hiyo group,(I opted to listen the the experts rather than make ignorant comments;)), i read each and every comment and its been great.

1 Like

Now see what gone and done @Meria Mata …watu wengine,hamna huruma

1 Like

He he me too kwa hiyo group. Natafuta pesa Mzee Swallow akuje na toolbox.

1 Like

Naskia wakiwa na web mende wamefika Kalahari desert.

2 Likes

hata mimi bana! kwanza @muzombozi ako active sana huko lakini hapa yu shini ya mayi kapsaa.
Hata Daktari ako MIA hii area.

adding you back, manki alikua amekuweka equator, hehehehehehehehehehe

2 Likes

hio maembe inakaa succulent…kama p*ssy ya nani!!

But sincerely speaking hivi mnasemaga eti leo natafuta 7 degrees west does it mean huwa mtu physically goes up there kuzunguzungusha ki dish shouting to the one in the house…hapo…hapo…hapo…hapo?

asanta. Am back in.

1 Like

noooo, tushapita hapo, kuna specialized equipment, kitu inaitwa sat finder, you go with it to your dish kutafta hio 7w, within 3 minutes yu done.
[ATTACH=full]11785[/ATTACH]
kuna analog, ngiri moja hivi na
[ATTACH=full]11786[/ATTACH]
digital, this are from 15 to 45 k
[ATTACH=full]11787[/ATTACH]
this is how you connect a sat finder to an lnb, haka kaanalog hua kascream kweli kweli ukipata satelite, hio digital is like a portable tv

ndizi za hapa sio nzuri, pole kwa kukuonea hapo juu, its just that it sounds gd blaming you

1 Like

Where is the person who was issuing out certificates? @Electronics4u is the first mod to be banned! :D:D Can we please give the gentleman some recognition and get him a certificate or something?

1 Like

Hii ni group gani?! I want in

1 Like

KRA compliance certicate
HIV status signed by @Luther12
CRB certificate showing ulilipa ile okoa jahazi
Leter of introduction from chaiman wako wa nyumba 10.
Ni hayo tu

4 Likes

Hehehe. Aki nimeshinda nikitafuta maji. Tanker mbili na bado. Itabidi nivutepumzi na embe masala. Thanks bro

2 Likes

Spare a thought for that poor embe. This is the aftermath after mm was done with it
Hii si ni hujuma jamaneni

[ATTACH=full]11788[/ATTACH]

6 Likes

hehehehehehe, mimi au @Nefertities
mimi ningeianihilate kapsaa, ata hio koko hungeiona