End month

So kesho ni payday kwa hivyo friday kuna madem wa USIU na KU wataumia viuono after hapo ni nyama quarter na jebel mzinga mbili.

Peasants kujeni cant relate :smiley:

17 Likes

Raha nikujipa mblooo

Mbirionares apana tambua jebel…

KU kuna mafisi…USIU kuna pesa…kwani mshahara yote utajazia shimo??

JEBEL MTU ANAKUNYYWA AJE ?

4 Likes

Monday morning I expect a hekaya with evidence. Ni hiyo tu

Hio shimo haijaangi, wengi wamejaribu kuweka pesa zao huko hazikutosha

@ Some Say . Reri Peasant number one, is now reporting for duty with access to more cash flow or credit than some mbirioneas here.
Ni nini inafanyika ni saidie fellow peasants ? :D:D:D

Yaani end month ishafika? @old monk niaje hiyo salo

3 Likes

Sasa mtu wa 30k salo atasema aje ?

@ x-trail , time to be strategic. Watu wa 30k wa pigie MCA’s simu wakule nyama. Na wasii guze hiyo 30K mpaka 2017 elections is over. sSalary iwe akiba tu and save for future use.
Hawa MCA peasants are now new mbirioneas and havebeen greedy. Na lazima wa kule nyama na villagers we zetu if they want to go back to loot again.

Hapo umechanua watu

1 Like

:(:frowning:

[ATTACH=full]70223[/ATTACH]

:mad::mad:

3 Likes

Jebel ni ile pombe after effects zake kesho mdomo inabaki kunuka maiti ndani ya kaburi???

4 Likes

:eek::eek:Kumbe ni kunoma!! Heri hivyo walitusort Thursday

Welcome to mbirrionaires club na usipatie peasants pesa ya bure

1 Like

only ma NV can understand this coded language :D:D

2 Likes

and ebu keti pale tukiendelea

2 Likes

mi hapana tambua fobe

1 Like