Wengine wetu hupata shida kuamka asubuhi ata wakati alarm inalia ikijirudia. Kuna pia mauchovu na uzembe kwa wingi tukitoka kazi.
[SIZE=5]Share your views![/SIZE]
Wengine wetu hupata shida kuamka asubuhi ata wakati alarm inalia ikijirudia. Kuna pia mauchovu na uzembe kwa wingi tukitoka kazi.
[SIZE=5]Share your views![/SIZE]
…mimi niko hio category ya kuweka alarm ka 70 btw 6am na 7am ndio nisichelewe
:D:D:D iza mse
I snooze twice tu, nikiweka ya tatu I am going to be stuck pale karibu GM hadi 8am. So I gotta wakeup tu
yesterday night i made a cup of lemon water, added two teaspoons of honey and a pinch of tumeric. Nimelala 1am alarm ikalia 4 am mimi huyo nimeamka fully recharged. Thanks also to the 4-7-8 breathing technique.
Ndugu Fafanua 4-7-8 breathing technique hii