Engine ya Msedes

Mercedes Benz SK Model Engine Assy
V8 non turbo
[ATTACH=full]246770[/ATTACH]

Engine ya msedes ni Makende NGOMBE HII

Hii ni import kwani muliharibu original kwa rori ? Manufacturer can sue you

this is kenya my fren, hii yaenda Rwanda

Niliona ka-SK kako na v6 kumbe ziko nyingi?

Kwa hivyo hamjaharibu moja ?

ili cease

Ngojea barua ya kuwasue najua mshakula matusi ya mwarabu

Ukiwa sawa unapiga new piston rings,head gaskets,mafilters na timing.

But hizi vitu ni guzzler na hata nguvu sio kama Actros.

Elezea zaidi