banar kuna ninja imeniitia job alafu.inasema Hr anataka kapa kumi ndio aku push through.
Job yenyewe ni ya tuskys, Cert zinahitajika ni za form four na comp ya cert.
Okay ni mara ya kwanza kupatana na conmen; Here is their trait.
1. Serious tone
jamaa akona lugha ya biashara
2. Effidense galore
jango amenionyesha messo za wenye wamelipa hio cash kwa Hr ndio awaingize job tiyari.
3. Telling you what you wanna hear
Msee huanza zile za, si unajua hii kenya saizi hakuna place ya kazi unaget job bila connection ... bla bla bla
4. kuchapa galore
jamaa mwenyewe amekondeana ka blal farkin. mbona asichukue hio job yeye mwenyewe.
5. Cv exposition mother fwaka
msee anakuchapia cv yake, places amekuwa etc etc
6. Uongo ya kifala
ata wewe ukijiuliza, ni tuskys gani ikona starting salary ya 35k?

Sasa huyu jango anadai pay after haies make. Nimemtukanisha na watu wote ya jamii yake na nikaleft.