Eti manzi wa kwako akikuletea nyef nyef ukiwa umetulia Tu kwa hau...unamwambiaga mum wacha kukasirisha Jay please. Bado anaendelea. Fuse yako inachomeka wakati anaku point point kichwa akikuuliza Kama uko Na akili. Hapo ndipo unamrukia Na kumfunga Na mikono take Na hapa nyuma Na kumzaba makofi then unampiga tego hadi chini.....when I recall that comment I laugh Tu Kama chizi...funny man