Enyewe kifo ikikutafuta huwezi hepa

Inabidi mtu atembee na helmet

Wueh!

Nyakati za battle of Adwa pale Ethiopia.

Yeseus!!

We are all handed a death sentence from the moment we are born, the end is coming for all of us one way or another you can’t escape from it

Mwathani! This is so sudden

[quote=“Guru, post:6, topic:124960”]

Mwathani! This is so sudden
[/QUOTE
Ata huyo dame amechanganyikiwa.hajui nini imegonga huyo mzee.na from impact sidhani anaweza survive[/QUOTE]

Hiyo kifo ni ya kutumiwa.
Jumabekavu na wa Kisii wote kujeni hapa.

Silly uliona nani akikufa ethiopia

Nimeona jina sex kwa hio cam

…Hii tulishaona, na @introvert akasema kuna ingine pia ilichomoka kutoka kwa Mercedes truck. :D:D

Oh God!:eek:

[QUOTE=“Quadro k4000, post: 1133638, member: 2704”]
…Hii tulishaona, na @introvert akasema kuna ingine pia ilichomoka kutoka kwa Mercedes truck. :D:D
[/QUOTE
Sawa ona tena[/QUOTE]

Luckily he did not die and fully recovered from injuries…

Adowa. Chenz

watu wa hii tuliona kwani leo hamna bundles

Hii niliona nikiwa shule pale AHS 1947.

And the guy didn’t die…

Jackson Angaine akiwa minister

watching that always gives me the chills

Who are you trying to correct? Saitan. Do your research.