Kama uliwai cheza hii, kweli umelamba chumvi mob
kush yule mnono Village Sponsor May 14, 2015 #1 May 14, 2015 #1 Kama uliwai cheza hii, kweli umelamba chumvi mob
E emali Village Elder May 14, 2015 #2 May 14, 2015 #2 hehe snakes an ladders nilikua na bahati mbaya sana kwa hii game
fishmonger Village Elder May 14, 2015 #11 May 14, 2015 #11 Enzi zetu kweli. such games have today been replaced by PS3 na XBOX games
nairobilay Village Sponsor May 14, 2015 #12 May 14, 2015 #12 they even used to be printed at the back of exercise books....ka hauna bahati ungepata times tables!
D Deorro Guest May 14, 2015 #13 May 14, 2015 #13 Nilikosana na boy wa Brickgame.. Si niliona siku mrefu. Na vile my mum nikimwambia nataka brickgame angeuliza halafu unataka tukule nini?
Nilikosana na boy wa Brickgame.. Si niliona siku mrefu. Na vile my mum nikimwambia nataka brickgame angeuliza halafu unataka tukule nini?
Ka-Buda Village Elder May 14, 2015 #15 May 14, 2015 #15 You must be the "Maziwa ya Nyayo generation!"
Supu don Village Elder May 14, 2015 #16 May 14, 2015 #16 ....i still play it...i guess i refused to move on....
Diffre Village Elder May 14, 2015 #17 May 14, 2015 #17 Deorro said: Nilikosana na boy wa Brickgame.. Si niliona siku mrefu. Na vile my mum nikimwambia nataka brickgame angeuliza halafu unataka tukule nini? Click to expand...
Deorro said: Nilikosana na boy wa Brickgame.. Si niliona siku mrefu. Na vile my mum nikimwambia nataka brickgame angeuliza halafu unataka tukule nini? Click to expand...
DI TICHA Village Elder May 14, 2015 #18 May 14, 2015 #18 Ice_Cube said: Correction: Ludo (my mind is in Liddos) Click to expand... Hehehe......Bado Liddos ina exist???? If it does, i think sahi ina mastripper wamebeat mbaya.....
Ice_Cube said: Correction: Ludo (my mind is in Liddos) Click to expand... Hehehe......Bado Liddos ina exist???? If it does, i think sahi ina mastripper wamebeat mbaya.....
DI TICHA Village Elder May 14, 2015 #19 May 14, 2015 #19 kush yule mnono said: Kama uliwai cheza hii, kweli umelamba chumvi mob View attachment 5333 Click to expand... @kush yule mnono Umewai fika a 100 kweli ama zako ilikuwa kumezwa na nyoka?????
kush yule mnono said: Kama uliwai cheza hii, kweli umelamba chumvi mob View attachment 5333 Click to expand... @kush yule mnono Umewai fika a 100 kweli ama zako ilikuwa kumezwa na nyoka?????
Ice_Cube Village Chief May 14, 2015 #20 May 14, 2015 #20 DI TICHA said: Hehehe......Bado Liddos ina exist???? If it does, i think sahi ina mastripper wamebeat mbaya..... Click to expand... Bado but the last time I went there even the ICC cases were unheard of in kenya
DI TICHA said: Hehehe......Bado Liddos ina exist???? If it does, i think sahi ina mastripper wamebeat mbaya..... Click to expand... Bado but the last time I went there even the ICC cases were unheard of in kenya