Ethic keeps shining and now have a collabo with Konshens

some of you were hating claiming such music cannot even be played in high-end clubs. Well this is what happens when we support our own artists
cc @Touchlyrics saa hizi utacheza their songs upende usipende

[ATTACH=full]246484[/ATTACH]

Hii ni song gani?

Wapi link?

remix ya Figa

Hii by Jioni nitakuwa nayo, latest Sunday if they release it. Wacha tuone itakaa aje.

@Deorro si ati tunachukia these youngstars, ni vile majority wanaimba upuss. Wajaribu kuiga akina Elani

Is that kamene goro?

Hii ndio upuss ya millennials ya kutafuta approvals from irrelevant quarters. Ata Trump mwenyewe aseme iko sawa haina effect yoyote. Ata ukibribe radio stations zote zicheze your music whole month bado huna bahati. You have to appeal to your market. A nobody will come from nowhere and shake the market alafu unabaki kulalamika ati Kenyans don’t like Kenyan music.

Lakini huyo jamaa mrefu wa Ethic, he seems out of place with all those small boys.

un-official remix

Music huendanisha na crowd and fashion like trend.elani right now ata sijui aneza perform club gani.

I fucks with Sailors heavily

Kwa sisi ambao hatujuii Ethic wapi link tuskize? cc @Deorro

Music ya Elani si trash ya kuperform in Poorly lit clubs kama za kina Ethic. They still perform and make more money than these thieves from Umoja:D:D.

Lakini umesema ukweli, music ni crowd. Siezi kosa hizi ngoma when perfoming to a young crowd, especially campus nights.

Am sorry wenzangu,hao vijana ni homeboyz wangu Lakini sjai play ngoma zao.

Uyo mrefu ndie alikua ringleader WA squad yao ya Koto in umoja 2

Mimi napenda sailors pekejeng

Walikua Mandingo umo

WTF.
Labda useme akina Crystal Asige, Bensoul i.e. Sol generation ndio wanajaribu kuiga Elani.
Hawa wa social ethics labda wanajaribu kuiga vybz kartel or shavey & slice

Yeah. Elani is just an example though.

Hii upuss ya mahood rat kutwerk huko ghetto in a song produced and mastered in less than 5 hours should stop.

wabaya Sana. I know them kutoka wakue primary one of them we were in the same football team

let me rephrase that, umoja koto si ugondi it’s a fashion