Eti celeb Mkali Kenya ni Huddah?

General Mangi

Senior Villager
#1
Nasikiaa Huddah, huddah,
Mara Huddah kafanya hivi, mara anamtaka diamond, mara sijui nini.

Kona za +254 ni Huddah, nikaambiwa ndo mtoto mkali na celeb anaesumbua Kenya.

Nikasema hii haiwezekani, ngoja nimtafute huko Instagram, nijidhihirishee ni mwana gani huyu asietulia midomoni mwa watu na kuyasumbuaa masikio yanguu??

Eeebhnaaee, kumcheki Instagram sikuamini macho yangu, niliyoyasikia na niliyo yaona tofauti.
Ikabidi kwanza niulize wana, etu huyu ndo Huddah????

Nikaambiwa ndo huyo mzee baba, kidogo nizimee.

Yani kiufupi, hata demu wangu wa huku uswazi kamzidi, lakini ndo naambiwa kenya anapasua vichwa vya watu. Kifua chake utafikiri kabeba tofali, hajulikani mbele wala nyuma.

Kiufupi, Kenya hamna madem wakali, yani demu wangu ambae anapaka Nivea ya Ksh 400 anamzidi huyo Star wenu Huddah.

Lol!!!
 
Mutesa II

Village Elder
#2

Pumbavu bunga baradhuli kerengénde pwagu mkubwa wewe,asubuhi hii badala utuletee mawazo na fikra endelezi unatuletea upuzi usio na kifani, haya basi tafuta kanga uisitiri kiunoni halafu katafute wenzako kina Aisha na Amina mkale udaku.
 
Dave Mtzd

Village Elder
#5
Kwangu naona akothee ni mzuri due to her blackness. Totally Dark skin and ebony girls kwangu ni big turn on sana when it comes to sexual healing.

The blacker the berry the sweeter the juice.

For the case of hudda..no comment. Pia kuna Yule mkenya ana tako kubwa kama sofa. Sijui vero nani?
 
General Mangi

Senior Villager
#6
Pumbavu bunga baradhuli kerengénde pwagu mkubwa wewe,asubuhi hii badala utuletee mawazo na fikra endelezi unatuletea upuzi usio na kifani, haya basi tafuta kanga uisitiri kiunoni halafu katafute wenzako kina Aisha na Amina mkale udaku.
Tuliza kikalio mkuu,
Kama unataka mawazo ya kujenga kuna forum yake, kitendo cha kuingia humu na kufunguaa huu uzi ni dhahiri umetafuta ulichokuwa wakitakaa.

Punguza stress kaka
 
Encore

Village Elder
#14
Nasikiaa Huddah, huddah,
Mara Huddah kafanya hivi, mara anamtaka diamond, mara sijui nini.

Yani kiufupi, hata demu wangu wa huku uswazi kamzidi, lakini ndo naambiwa kenya anapasua vichwa vya watu. Kifua chake utafikiri kabeba tofali, hajulikani mbele wala nyuma.

Kiufupi, Kenya hamna madem wakali, yani demu wangu ambae anapaka Nivea ya Tsh 400 anamzidi huyo Star wenu Huddah.

Lol!!!
0fgjhs1aal53pt2oq8.d4fa11ee.jpg

Huyo dame wako kajulikana yuwaitwa jacky sandra.
swali ni.. kwani unafanya kazi kwenye buga la wanyama?
 
Top