Kwani kuna mahali watu wanapewa hutu tuvitu bure, mimi pia niende kujinyakulia kangu? This model must be the king/queen of tu dudus. Huwezi maliza 30 seconds kwa barabara bila haka kakitu kukupita ama kuona kako parking mahali. Is Mazda the new Toyorra? Eagerly awaiting @Bingwa Scrotum's conclusive A--in-94 analysis of this worrying trend.
