Exclusive: Utafiti mpya wa GENTAMYCINE kuhusiana na ' Uaminifu ' katika Mapenzi unasema kwamba....

[FONT=courier new]Amini usiamini ila kama Wewe ni Mwanaume mwenzangu nakuomba kuanzia sasa anza kulifuatilia na kulifanyia Kazi ila lina ukweli / usahihi wa 99.9% kwani nimelifanyia ’ Utafiti ’ wa Kutukuka kabisa na ’ findings ’ zangu nyingi kulingana na ’ utaalam ’ wa ufanyaji ’ tafiti umenihakikishia hivyo.

Ni kwamba Mchunguze sana Mke / Mpenzi wako uliyenae hapo na ukiona anampenda sana Mchezaji Christiano Ronaldo wa Real Madrid na Timu yake ya Taifa ya Ureno jua ya kwamba si Mwaminifu, Mwongo na ana Mabwana / Mahawara wengi halafu ana Tamaa sana na Roho mbaya mno. ( Hawafai Kuolewa na kama labda unae basi mwache upesi na kama ulipanga Kumuoa sitisha haraka huo mpango kwani utakuja Kujuta mbele ya safari )

Ukikuta Mke / Mpenzi wako uliyenae sasa hivi anampenda sana Lionel Messi wa FC Barcelona na Timu yake ya Taifa ya Argentina jua ni Mwanamke Mwaminifu, Mkarimu, Mkweli, hana Makuu, Sifa na ni Mpenda Maendeleo sana tu halafu wana roho nzuri sana. ( Wanafaa Kuolewa na kama unae hapo unajifikiria Kumuoa basi nakushauri fanya hima ukamalizie Mahari kwa Wakwe zako umuoe upesi na kama unae hapo Kwako kama Mkeo basi hakikisha leo kabla jua halijaenda arijojo / alijapotea uwe umemnunulia bonge la Zawadi )

Hii[/FONT] [FONT=courier new]ni Zawadi yangu ya ’ Utafiti ’ Kwenu nyote na GENTAMYCINE ’ [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer[COLOR=rgb(184, 49, 47)] ’ nawatakieni kila la kheri ila nina uhakika nao kwa 99.9% kabisa.

Nawasilisha.[/FONT]

Ni kwamba Mchunguze sana Mke / Mpenzi wako uliyenae… Apo ndo ulipokosea
umesahau kuwa ukimchunguza bata hutomla:cool::cool::cool:

Badilisha mwandiko bhn wengine tunaumia macho loooh

He he makubwa haya

[FONT=courier new]Nimekulazimisha unifuate? Pumbavu![/FONT]

Hahah!! Hii tafiti naiunga mkono mkuu

Wapi @Shunie @Ledada @Raynavero

Eeenh

Wewe nawe umekuwa twaweza sasa

Team Messi bwana…yaani wanatafuta tu sababu za kujipambanu!3 bila

Poleniii!kwa kipigo cha mbwa koko!

:D:p

Looh leo nimekuwa mpumbavu hivi mpumbavu anamjua mpumbavu mwenzie mchawi mkubwa wewe

Akirudi atasema mchawi mumeo hahaa ukimbizini raha kweli

Huyu mkurya hana tofauti na jiwe

Huo ni mwandiko wake tangia nyumbani ujue! :D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D:D mmenichekesha kwa sauti na hali niko kwa “watu” hahahahahahahaahahhaah

kule nyumbani unaonekana vizuri

Du hizi

Du hizi tafiti za mwendo kasi balaa

hahahahhahahaha uwiiii huyu mtu simuelewagi ila kwa kuwa ni mwandishi wa habari siyo mbaya

Yule uliyempost ni nani eti!

Niliyempost wapi