A few months ago mtu aliweka thread venye vitu ni expe Kenya nikacomplain juu nilikuwa natumia credit card kusort bills. Niliamua kuenda London greener pastures 1.5 months ago. Life hapa ni better na wife anachip in - I can now afford a good lifestyle bila kustruggle na kusave between 150 to 200k a month. Mtokeni Kenya my Frens. Spending budget ya oct tulisort bila issues..anyway, napeana advise on what to do after umeget skilled worker job-visa, hao, na venye ya kuishi huku
View attachment 481724