Expenses Budget Since I left Kenya

A few months ago mtu aliweka thread venye vitu ni expe Kenya nikacomplain juu nilikuwa natumia credit card kusort bills. Niliamua kuenda London greener pastures 1.5 months ago. Life hapa ni better na wife anachip in - I can now afford a good lifestyle bila kustruggle na kusave between 150 to 200k a month. Mtokeni Kenya my Frens. Spending budget ya oct tulisort bila issues…anyway, napeana advise on what to do after umeget skilled worker job-visa, hao, na venye ya kuishi huku
[ATTACH=full]481724[/ATTACH]

black tax ni subbie tax ama

Mathe, siblings na jobless relatives…

Hiyo skilled worker visa ebu elaborate in detail vile uliangukia?

Black tax :D:D

$1,500 in London inaweza nyumba kweli?

ni 1450 pounds 1 bedroom…8 minutes from central London. Ranges from 1300 to 2500 for a 1bed.

Nilitaftwa pale Linkedin, was messaged by a recruiter. Nikapata.

Shopping na food at 500 you are eating basic stuff. No bacon, no beef

I eat beef daily, food hapa ni cheap as fuck. 1kg meat ni 7.4 pounds.

Hapo sawa, cologne ya self grooming sini mingi

Interesting. Hata mimi naona nikuje huko for a couple of years.

Haircut, nywele na makucha za girlfriend, thai massage etc…sio mob sana…always wanted to do such now that I have more than I can spend naeza

Yeah, you should. Hao tu ndo expe, other things ni cheap sana.

How are the schools? Do you know anyone who has relocated with the family / children?

Schools are free za gava na ndo ziko poa…campus tu ndo utalipia. By free I mean free…ukihama place unaambia gava then wanakutaftia school near you. Haujitaftii shule

Childcare ni expe though, by law haufai kuwacha mtoi solo so lazima utafte mboch wa 13 pounds per hour. But kama uko na job fiti utaambia wife akae na mtoi hadi akuwe mkubwa aende shuke za free…

Uko field gani? Na ulikuwa kwa kampuni gani ndio utafutwe hivo?

Bahati ya mwenzio usiilalie mlango uko wazi…tafuta na njia zako kwanza wewe vile unalia kulea mtoto ni kazi

Tech…siezi sema but ni either big 4 or faang…moja ya hiyo