Explicit, I can't Nduthis anymore.

Asubuhi kucheki simu yangu napata paragraph out of the Blues ya dame yangu akisema “I can’t Nduthis anymore”. Roho ilikua inadundia kwa magoti, nikajaribu kurudi kulala lakini wapi? My body was resisting a rest.
[ATTACH=full]317739[/ATTACH]
Asubuhi kucheki simu yangu napata paragraph out of the Blues ya dame yangu akisema “I can’t Nduthis anymore”. Roho ilikua inadundia kwa magoti, nikajaribu kurudi kulala lakini wapi? My body was resisting a rest.
Heri hivo nilikua navaa my latex gloves time ya mechi kwa sababu kama Arrizabalaga, she wasn’t a Keepa. Ata kama ningepiga shots kavu kwa Ngolo post huyu bado hangeshika ball yangu. Heri hivo sisi hua tunavunjwa roho, ingekua miguu, sisi wote tungekua viwete. But si ni life??
Badala ya kuhesabu box za ceiling hadi jioni juu sikua na form, nikaendea kaQuarter ndo nidrown my sorrows, I had feelings too mi si Robo-t. Kufika W&S nikapata kumefungwa, so nikaenda kwa morio wangu at least tupass time. Maze nilipata Kevo akishikisha jaba saa mbili ta facken.
Taxin ilikua imefura nikama kisogo yake ilimea kwa mdomo. Huyu ata story zangu niko sure hange handas-tand, sa nikamuuliza “aii Kevo aluta saa mbili?” Akaniambia “Kama wewe ni mbaya basi si unikhataze, wacha nikule Miraa yangu polepole, mimi sio Kioo cha jamii.”
Tulikua close na Kevo so nikamchapia vile nimevunjwa roho. Ukiwai ambia bro shida zako, hua anakupigia story hurting kuliko yako ndio uone vile we hakuna kitu umeskia. Keja yake haikua na pillow ama duvet, alikua anasema ye hulalia ngumi halafu anajifunika na mkono hadi asubuhi
Kevo hukua mtu wa kuchomelea chuma na hua anafanya wiring ya stima,ye ni fundi steady na pia kwa cabling department hanaga mchezo. Ndo akaanza kuniambia heart break yake ya kwanza. Ati kitambo kidogo walikua wanafanya job za tender, kazi walikua wanaipiga kama mwizi wa kibeti
Waliitwa place flani Embu inaitwa Nguviu wakapige kazi. Walitravel jioni, waende wakalale ndo asubuhi waamkie kazi.
So wakitravel aliketi next to this thiccc girl, huyo niko sure home kwao alikua Kiboko yao.Kama thickness was a calling, nyinyi wengine basi maskio yenu imefungana.
Huyo dame alikua amesimama kuliko kiti cha urais.
[ATTACH=full]317740[/ATTACH]
Dame akiketi dress yake huPanda juu kiDesign.Nyawira alikua anainulia my guy kamisi hivi tu, nyege zote zinaamka.Wanaume hukua na stingo flani mjuolz ikimisbehave, unachukua askofu unamuangalisha juu kwa mawingu kama sacramenti.
Kulikua na kajoto so Kevo akachukua that window of opportunity kumake first move juu dame alikua amekaa kwa dirisha. Alikua like “hey, utafungua dirisha ama nifungue roho?”. Kevo hakua SDA lakini najua his pick up line was “I didn’t believe in love at first sight until I Soya”.
After some time, walikua wananyambishana kwa kitanda moja, but ilikua expensive.
[ATTACH=full]317741[/ATTACH]
My guy atoke Thika hadi Embu for 5 hours halafu aende adeliver 3 of his best strokes amalize kazi in 5 seconds, aii hio hesabu haikua inaingia. So akamconvince wakamove in pamoja, hapo ndo aliharibu.
Kila fundi hukua na mtu wake wa mkono mwenye hucome in handy incase fundi anataka kusaidiwa. So this time waliitiwa kazi Kisii but ilikua one man job, so Kevo ilibidi ameacha Anto nyuma. Ilikua job ya wiki moja so akaambia Anto amchungie mali kejani
[ATTACH=full]317744[/ATTACH]
na most importantly bibi yake.
Niko sure kitu Anto aliskia ni “bro mimi kusema ukweli sina nguvu za kiume, wewe nakuachia bibi yangu wiki mzima umrarue”, Kevo akaenda tao juu alikua anatravel na gari ya jioni ndo next day aamkie kazi.But this day nikaa boss wake hakua ameshugulikia transport, ilileta shida.
Kevo alibaki amebreeze pale Easy Coach
[ATTACH=full]317742[/ATTACH]
kama samaki kwa side mirror hadi kitu saa tatu usiku ndo mkubwa anamuambia akuje saa kumi asubuhi aende na gari ya kwanza. [Hadi hapo tuko pamoja??] Sa ikabidi amerudi mansion ndo aamkie kazi. Kevo ndo huyoooo hadi Kenya Mpya hadi mtaa.
Kevo ndo huyo anaingia mansion kitu saa tano usiku. Maze kwa mlango kuna viatu zinanuka ajabu, hio odour ilikua strong karibu afaint but akajishikilia na mlango kama ule mtu wa Game of Thrones, aliamua a-Holdour. Kiasi kiasi anaskia “panda kwa kabati halafu urukie gear”
Kevo kwanza akatoka nje ya ploti kuconfirm hajaingia driving school, kurudi anaskia “Router Thuruare ni connect kwa yako” Aiiii kwani niliweka WiFi lini?. Tena akaskia sauti ya ndume ikisema “indaaaaaaa!” Akapiga mlango teke paaaa! Huyu mtu angemumalizia bibi buana.
Aliingia wimbo ya sauti sol ikiplay “Bibi ya wenyewe is a No Go zone” lakini Nyawira kazi ilikua kurukia miti kama Nugu. Tie Kevo alinunua ndo akue serious na maisha ndo bibi alikua amefungwa nayo. Anto naye ameekelea miguu za dame kwa mabega halafu anampea dose ya Penisillin.
Nyawira akaharibu kabisaa ati alimuambia “utashinda umelia hapo kama msichana ama utakuja mumalize hii kazi kama wanaume” The beauty, the fuckery and the audacity of this bitch!!
[ATTACH=full]317743[/ATTACH]
Saizo Anto wamejifunika masehemu kama Adam and Eve time walishikwa wakiiba miwa kwa shamba.
Kevo akasema heri apiganie ugali lakini hawezi fight over the ‘same bae’. Aliangalia kando akaona nyundo, akasema a-mallet this people nani ndo kusema. Akastretch mkono nyundo ikakuja kama hammer of Thor, akaichukua akapiga kabati paaaa!! Kwanza mende za kabati zikatoroka
Anto alistuka mjuolz ilikua imerudi default settings like niggas in Limuru. Kevo alikua na choices mbili, moja asafirishe hawa watenda dhambi moja kwa moja hadi kwa baba express ama achomoe gangster move ingine enye hadi Yesu akimuona anamuita The Godfather you gerrit??
Kevo mara moja akaingia akachukua dawa zake za kichwa ndani ya kabati halafu akasema “mimi wacha nimeze hizi ARV zangu, naona sitakufa nikiwa pekee yangu juu tuko wengi” Akachukua bag yake na akajitoa ferrr fast aende akachekee nje ya gate. Akaenda akatafuta place ya kudoz.

please grow up and be a man

Hii ni stolen next time acknowledge the source.

Kuna dem hapo kitu sana siwes mind

Hahaha ambia owner nice story

[ATTACH=full]317780[/ATTACH]

blaly fwackin

nyonga na hizo picha utulie

It’s been a @LongTime since I last read such @Nonsense

Nime scroll tu hizo picha ziko poa. Those are young chewable women