Exploding gas cylinders

Wepukhulu

Village Elder
#9
Sasa hapo ni nini umesema kusema ukweli? If the gas itself is corrupted, haijalishi kama unatumia cooker ile kubwa ama kadogo. Utalipuliwa kama mshenzi!
Msee, hiyo burner yenye most people tumia huwa haijifungi poa, thus leakage that's why nasema better kutumia hii ingine.

Hizi tanks zinalipuka juu ya leaks not ju ya bad gas.

@Nyadist were they 6kgs tanks or 13kgs?

Trust me, cases za explosion ni mostly 6kgs tanks ju 13kgs hizo top burners don't allow leakage
 
Wepukhulu

Village Elder
#10
Sasa hapo ni nini umesema kusema ukweli? If the gas itself is corrupted, haijalishi kama unatumia cooker ile kubwa ama kadogo. Utalipuliwa kama mshenzi!
The only corrupt way najua ni wajaze half way na butane then was top up na air.

Ju hydrogen ndio explosive na sidhani wanaeza corrupt nayo
 
Top