Exploding gas cylinders

Second case in my hood, guys be careful ukiona gas inawacha sooth kwa sufuria hio imefanyiwa ukarabati… Seems our shine eye bredrin have figured out a way of mixing lpg and some other gas…

SOOT,sio sooth hio ni chida ya matamchi.

Watu watafute hii
[ATTACH=full]134033[/ATTACH] [ATTACH=full]134034[/ATTACH]
Waachane na hii

Wewe fuata onyo… Kiingereza sio mdomo wetu.

Sasa hapo ni nini umesema kusema ukweli? If the gas itself is corrupted, haijalishi kama unatumia cooker ile kubwa ama kadogo. Utalipuliwa kama mshenzi!

:D:D:D:D:D:D Hawa shinny eyes aki,hakuna kitu watawacha kwa amani,wamesema spectre international amekula peke yake for too long.I love my people

I thought hio gas ya kariobangi ni original ndio wauze bei cheap ni kipimo inakuanga haijafika

Shinny eyes watatuaonyesha maneno kweli. Hatupumui, ati in the name of business

Msee, hiyo burner yenye most people tumia huwa haijifungi poa, thus leakage that’s why nasema better kutumia hii ingine.

Hizi tanks zinalipuka juu ya leaks not ju ya bad gas.

@Nyadist were they 6kgs tanks or 13kgs?

Trust me, cases za explosion ni mostly 6kgs tanks ju 13kgs hizo top burners don’t allow leakage

The only corrupt way najua ni wajaze half way na butane then was top up na air.

Ju hydrogen ndio explosive na sidhani wanaeza corrupt nayo

gas ina sooth iko poa meffi

Au wakose kuweka that chemical that makes LPG smell.

Exactly, then ikileak huezi jua

Spectre international is killing us.

Nunua gas kwa station. Hizo zingine funny coloured with funny names ambazo huuzwa mtaani wachana nazo. Hao watu wa ku-refill wako biashara huwezi jua nini wao huongeza.

What makes you think a station owner hawezi kuwa involved in illegal businesses?

The risk is minimal as compared to the refillers where you definitely know how they go about their biz.

True story

Usiamini hizo za station sana juu hata adulterated fuel huuzwa huko.

Hii sooth ama whareva inaletwa na nini