Facebook peasant here na question about stalking

Sasa mimi hutumia Facebook kuona latest updates za pages kama AA, AP na akina Pc Gamers zote pamoja bila kufungua tab nyingi. Halafu kuna the occasional problems na Safaricom na Airtel za simcard so mi hutumia customer care yao.

Sasa shida ni nimekua nikiona ati Your friend commented on this bila hata kufikiria pia mimi inanitendekea hivo. Kumbe niki-comment kwa page yenye friend wangu haja-like inamwambia chenye nime-post!! Sasa, meaning niki-like post ya page fulani (tuseme kasichana karembo), kila relative anajua: ama nikitusiana na mlevi fulani page yoyote.

Sasa nime-Google kama kuna kitu naweza fanya except kuacha ku-like vitu na ku-post na naona post ya help ya FB ya 2014 pekee na haina solution.

Kuna mtu anajua kama naweza badilisha hii privacy ya posting on other pages halafu every friend anaona ama nifute account na niachane na Fb kabisa?

Leteya wakubwa hekaya kwanza.

Saidia please. Kuna kitu naweza fanya?

Ni ati nimekuwa nikitusi watu kwa pages wakiniudhi. Kumbe kila mtu anaambiwa nili-comment. Imagine sasa relatives wananifikiria aje considering imekuwa matusi uncensored

Edit:
There is nothing that can be done. Acha nifute account

Pia mimi hii kitu hunisumbua sana ukipata solution uniite

can’t relate

Answer ni kufuta account pekee. Nimesoma articles kadhaa zina explain. Uki-post page public, hakuna option ya friends kutoambiwa, wataambiwa tu. Nimefuta account tu saa hii. Hata deactivation haisaidii, ni deletion solo. Kama ume-deactivate, ukijitafuta Google, utapata all your page posts

Link ya deletion ni https://m.facebook.com/help/delete_account . Futa account

I have joined you. Nimefuta account. I can’t relate anymore too.

Nimedelete acs kama saba I keep on rejoining facebook iko poa ku keep up na classmates wa primary na highschool :D:D

Unaweza hide your profile not to be visible to search engines

mukuru wa zuckabaga ni umeffi tupu…twitter nobody gives a fuck

Think before you post. Ukitaka freefall fungua account nyingine na usiwe rafiki na close people. Otherwise, you’ll be judged harshly

That’s why I hate twitter it’s so raw, and unfiltered
Unafungua hiyo app tweet ya kwanza kusoma ni "madem wamevaa mini wanafaa wadance na ukuta juu watakupaka mefi ‘’
:D:D:D:D:D
Shittalkers wamejaa huko na cartoon avis
Facebook is real yo

If they dont fuck you or feed you or pay you, why should you care about their opinions?

Enda kwa settings kuna option ya kugawanisha all ur friends into groups only group moja iwe yaweza ona comments zako.

but Twitter is for high IQ peoples, that’s why huoni maoni kwa program yeyote ikitoka fb.

Co

Hivo ndio huwa mnajiconsole :D:D:D
It’s for fucked Up peeps

u get shity tweets coz you follow fucked up people

good thing i ditched mkz. rubbish site.