Faimba sim card

where can i buy one and pesangapi?? also eastlands kuna net yao ama wana deal na mbirioneas alone??
natafuta simcard juu kuna kamagera aliniuzia mifi yake.

merry krismas wakumbwa

Unatafuta faiba sim card 5am, Tunaweza Sema unadai kupiga nduthi na Hauna lanye:D:D:D
[ATTACH=full]277076[/ATTACH]

ngite cheza chini…

Don’t even bother bro. JTL now is a skeleton of what they used to be. Very useless connection. Even in areas where the bars are full you will still experience terrible connection speeds

[ATTACH=full]277085[/ATTACH]

Bihi towers 5th Floor.

Faiba ni meffi. SIM card yangu nitupa kwa nyasi kando ya barabara ndo nisiwahi ipata.

Indicates “4G” but speeds are slower than edge. Status za WhatsApp huchukua a minute kuonyesha. Na saa hizo ni picha. Hata video usiongee…

Tuscom tuskys T-mall lang’ata rd

Vidic house mama ngina street karibu Hilton hotel

ulitupa the wrong thing the SIM card did not have a problem ungetupa tuu that mediatekchieth phone coz from where i am i the least speeds i get are 18Mbps na hakuna siku site imekataa kuload (From Nokia 5)

inachezea mangapi bro napia packages zao za net zikoaje…mkulima mdogo max budget ni 1k

Nilianza na Nokia 2, kisha nikaenda Nokia 6, kisha nikaenda mi-fi, saa hii niko na Tecno Camon 11, and I never had speeds even close to a quarter of that. Haiwezi kua ati gadget zangu zote zimekua na kasoro.

Exactly. I migrated to Safaricom Home Fibre. It’s much faster.

Sim card ni 300bob which is basically 7gb for 7 days. 1k you get 25gb for 30 days.

It’s what I use monthly

im lost yawaaaaa.

Dont use Faiba if you reside outside Nairobi.

I got terrific speeds in nanyuki town than in NAIROBI

True Faiba speeds are higher in other areas other than Nairobi so long as there’s coverage.

The 700mhz spectrum is highly sensitive to obstructions e.g. buildings… ( lower frequencies travel further but have less penetration power & carry less data at an instant) v=fλ. Its only effective in areas not highly populated… Ama kama unaishi 5th floor+…

Mi nakuambia kuna ingine hufikishwa latest inakam tulia uione January

Currently i think the guys have partied too much and forgot checking on their systems.
In Nakuru a page can barely load