Fake klist site down

Status
Not open for further replies.
#11
Hii ni ile ya @Village elder ? na kama ni yake I feel so happy fala alinitusi sana when I refused to join it.
The mofos administering the site used to catch feelings ukiwambia all that was wrong with the site. Alafu walikuwa na ufala eti lazima upost ndio usome ile ujinga ilikuwa huko. Showed them the middle finger, pocketed and whistled while walking away with a cigarette in one hand!!!:cool:
 
Web Dev

Village Elder
#14

Ati whatt! Picha ya ukismoke mkono kwa mfuko ukitoka hio site
 
#19
We ol monk wacha uwongo. Matusi gani? Nilikushow ucheck out the site ukakataa nikasema OK. End of story. Sasa kila time nikikucriticize (constructive criticism) unaimagine ati ni juu ya iyo stori. You keep bringing up that stori hadi I get annoyed
 
#20
Listen up ol monk and lisen good. Sina time ya kuargue na wewe over nothing. We ishi life yako and lemme get on with mine - I got more important stuff to do than kujibizana over stuff that daent exist. Wacha kunitag ovyo ovyo
 
Status
Not open for further replies.

Top