Family monthly budget

Wakuu,Am having this discussion with the PM and the things am being told dont add up, which made me came here running nikitafuta maoni.
Am told to fork out around 50k yet most of the bills have been paid by myself including a house in Nai which hata the last time i was there hata sijui ni when but its occupied by part of the family.
Swali ni walio na familia huku huwa mwatumia hela ngapi kila mwezi?
Usisahau silipi rent,ni matumizi ya nyumbani tu.

3 Likes

Nyumba iko Estate gani?

1 Like

Fanya shopping ya mwezi mwenyewe which i approximate @ 10k mpaka long life milk,ongezea yeye 1 k kila wiki peke ,wanaume wanasave pesa ya kununua tubloti huko Gakuyo wewe unaharibu bibi pesa akipeleka kwao.In between empower her pia yeye aweze hustle na hii maisha ya kulipa rent mbili ni upus hata nv hakubaliwi kuongea.

33 Likes

Avoid loud and aggressive persons; they are vexatious
to the spirit. If you compare yourself with others,
you may become vain or bitter, for always
there will be greater and lesser persons than yourself.

15 Likes

Wewe hujui siri? Ukipata mshahara pelekea bibi new fake pay plan from HR na mwambie alipe bills zote mwenyewe, kisha balance ajipeleke salon. Ataona how tough it is and she will stop bothering you with unnecessary non sense. But ikiwa wewe ndio kutoa Toa everytime ,she will still imagine you have the cash.

5 Likes

DESIDERATA - sundowner KBC. I love that song everyday .

2 Likes

These bisches ukijaribu hivyo ata misuse Hio mbesha akumess vibaya,mwanamuke lazima umuonyeshe controls omwami.

8 Likes

wacha tufuate mawaidha sisi Makapera we may need in future

Lakini si uko tu hapa Uganda? Na according to Ktalk standards Uganda si diaspora. Tembelea kwako Atleast once a month ama hiyo 50k @MISCHIEF na @Mzee mzima watakuwa wanapewa portion yao juu ya kufanya kazi yako

[SIZE=1]Disclaimer am a single bachelor. My advice should be taken with a pinch of salt. [/SIZE]

8 Likes

This is why nobody can answer this question. There’s a guy who does 10k a week, another 10k a month na mwingine 10k hata haijafika rent.

14 Likes

@madova ,hii tabia ya kulipa rent mbili ni upus,chukua loan nunua ka bloti ka mita moja at a kama ni mihango,anza ka mjengo within five years utakuwa umemaliza kulipia loan+ unaishi kwako,next fungulia bibi biashara by the way limit kua na idle money, mimi kutoka 2002 nakuanga na loans na zimenisaidia,hii ujinga ya kupata salary mingi na hauweki mpangoni kama jatelo ni upus.

14 Likes

Si alisema yeye hutafuta kitunguu kwa M7?

1 Like

i thought desiderata is a poem by max ermahn or something…

1 Like

kwanza kabla financial experts na pia marital experts wamalize, hii 50k ni Uganda shillings ama ni Kenya Shillings?

12 Likes

:D:D:D:D:D

1 Like

Tunajua wewe ni birrianaire currently niko na bibi na mtoi mumoja ,wengine wako boarding nikinunua eight kgs za unga,2 kgs za sukari,mafuta 2 kgs ,Pampers za 2400 ksh … hapo essentials tumemaliza halafu 1 k kila wiki yakununua vitu kidogo kidogo.

5 Likes

kwani unaishi na watu wangapi kwa hio boma, 10k covers me well

1 Like

True, vitu kama nyanya, vitungu huwa weekly. Mostly ni food ya kukula.

1 Like

Budget ya Runda na Kayole huwa tofauti

8 Likes

Wacha kuchocha mtu.
Mimi sijasema :D:D:D:D:D