Farasi ni wawili hii Nairobi

Status
Not open for further replies.

Mzee mzima

Village Sponsor
#82
Jana niliona jamleck kwa tv akisema ety in Jubilee they want to put it in such a way when you lose the nomination you can't stand with another party. Let the games begin
 

Simiyu22

Village Sponsor
#88
Thanks @Okiya. I put the same argument here two weeks ago and was told I reason kama kuku . Many ktalkers want sonko to win. But the demographics and dynamics are against him.
 

WuTang

Village Chief
#91
WAbaluhya hamuwezi support your bukusu guy. na vyenye jaluo iliunga kidero na hata hakuwa amechaguliwa hata councillor.
Kidero alimwaga pesa, it wasn't about the Luo vote. And the main opponent, Waititu hakupata kura yote ya njumbiree because some kyuks were apprehensive towards his 'Embakasi style' way of resolving issues.
 

Energizer

Village Elder
#92
Kuna shiiida kubwa saiiidi hapa Kenya. Ukiona wasee wamebonga juu ya Luhyas hapo juu wana imply hawana unity. Meaning Kenya hatuta wahi songa mbele. It is either MTU WETU or MTU WETU...Luhyas form a good proportion of the electorate. They don't vote on the mtu wetu mentality. That is why you will see in the presidential basket everyone will have something. Some sense of civilization.
 

uwesmake

THE PRESIDENT
#95
kidero hawes pata kura yangu neither project ya upus aka wamalwa , mimi napea Sonko kura . na hii Poll kidero alilipa iundwe Sonko ako mbele yake na 20 percent
 
Status
Not open for further replies.

Top