Sijui ni mimi tu but sasa fertiliser tunaletewa kwa wingi na miti ndizo hizo mnakata kwa wingi hampandi...mtaweka mbolea kwa shamba halafu mvua ipige chenga tutaona watu watavuna nini.
Lets plant trees bana...si hii ujinga hata watu wa kenya forest pia wanasafirisha makaa hao wenyewe...what a fucked up country.