Wakuu, hivi ndivyo vitabu vya fasihi kwa sasa. Kigogo-Tamthilia Kidagaa kimemwozea-Riwaya Tumbo lisoloshiba- Hadithi fupi. Enzi zangu, tulitahaniwa Kifo kisimani, Mwisho wa kosa na Mayai waziri wa maradhi. Wewe vitabu vipi?