Elgin
September 27, 2017, 11:30am
1
Wakuu, hivi ndivyo vitabu vya fasihi kwa sasa.
Kigogo-Tamthilia
Kidagaa kimemwozea-Riwaya
Tumbo lisoloshiba- Hadithi fupi.
Enzi zangu, tulitahaniwa Kifo kisimani, Mwisho wa kosa na Mayai waziri wa maradhi.
Wewe vitabu vipi?[ATTACH=full]128011[/ATTACH]
My time tulisoma
Buriani
Kisima cha Giningi
Mashetani
Can’t remember the other.
Chifu
September 27, 2017, 11:40am
3
Kifo kisimany
Utengano
Mayai waziri wa madhambi. That was in 1994
baogu
September 27, 2017, 11:49am
5
sisi tulisoma hii
[ATTACH=full]128012[/ATTACH]
Chifu
September 27, 2017, 11:52am
6
When you Got an A-?
:D:Dexactly. Tulikuwa wengi kwa hii kijiji
Afro
September 27, 2017, 11:54am
8
really ?.. sounds like the 2009 combo…kifo kisimani,mayai na utengano na enemy of the people
the burden was the best…'he has done it again ! ’
Siku Njema- tamthilia,
Kisiki- Riwaya,
Other can recall
Chifu
September 27, 2017, 12:01pm
13
Hizi vitabu hukaa zikirudiwa.
Just found out Kidagaa Kimemwozea is authored by Ken Walibora. Huyo jamaa si atakua birrionaire akiendelea hivi…tulifanya Siku Njema na ni yeye tu alikua ameandika.
Mwalimu wetu wa fasihi alikuwa mrembo sana , tena gwiji wa lugha . Nilikuwa namskiza nikana kwamba na watch Ile series ya ‘house of cards’.
Elgin
September 27, 2017, 1:10pm
17
Wah basi nyinyi mlipata leavers rock imeisha.
Mimi ata sikusomeshwa, nilijisomesha.
When you Got an A-?
Inakaa '94 A- ndiyo ilikuwa fashion