Fatakraa Baruti

[ATTACH=full]210355[/ATTACH]
Watoto wamelipua Baruti hapa Nje Roho ikazama. Nikapenyua pazia kuchungulia nione kama Mohamedi ametutembelea. Nikacheki ni vipii pale ground vikirukaruka . It will take a while before it sounds Normal to blow those things. I remember my days pale Langas Eldoret when we used to blast away. Before those sounds became associated with Maharamia. Am surprised the govt let the sale of firecrackers resume.
One time I almost gave my sister a heart attack by hiding a bunch kwenye Jiko kabla aanze kupepeta liwake. Hio siku nilipewa kichapo cha nyoka. Eitherway, the kids are having fun,

Maybe leftover za Diwali which was on 7th.

aaaah, most probably

Loads of nostalgic childhood memories.
Why did we grow up?

You wanted to kill you baby sister? ningekua mzazi ungelala kwa mti nje ka umefungwa kamba. Stupid boy back then!
Iko jamaa mmoja pale mjini (Mjini is an estate ya waisalmu pale 037) nkiwa mdogo alipenda kuomba fegi. Wale wasee wa nibuyie, niwai hata kama haijafika beggars point halafu alikuwa wale wasee veeery green. Msee alitoka interior part of Nothern uganda na hakuwai soma and surivived as a bodaboda guy na vibarua hapa pale. One of my friends who was in campus by then though pia ako Nakuru nowadays alichoshwa na hio tabia akasema “Atamkoma” na starehe zake. Sa iko siku ya Idd al Fitr jamaa amekuja after hustle akaomba fegi, aka ambiwa leo hata hamna haja tugawane juu ni siku ya Idd, chukua yako mzima. Ninja ikachukua na nderemo na kuwasha, akavuta kama four puffs then harufu ikachange, kidogo a continous cracking sound halafu booom!. Ninja alipiga nduru haijawai skia na saa hio anatoka machozi akaulizwa nini mbaya? His response was “Os-aaaa-ma, Osaama kwa sigara”. Watu walimcheka yake yote and from then kuna watu hakuwai omba fegi na hata umpe anaikataa.

:D, nyinyi mngelipua lips za ndugu ya Idi amin

Idi @admin