Hii dnio timu ilikamua Man-U jana usiku.[ATTACH=full]31648[/ATTACH]
2 Likes
???
alikunywa busaa mbichi
Busa mbichi ni tamu sana, problem ni kwamba lazima itaiva kwa tumbo, unakunywa jioni ukienda kulala uko poa, unaamuka asubuhi uko maji mbaya.
1 Like
Leo mpango ni wapi
hehehe…
niko karibu kuhama manure naskia the rugby coach yose murino anakuja huko for three years