Feeling cheated!

Jana jioni Mimi huyo katokea hustle ya pandre pale westy magizani. Nikaingia Latema shuttle inidrop cbd. Overtime muhimu kwasababu bibi aliniacha last January I think alipata sponsor. Mm huyo nikajiambia ‘haisuru’ Kenya wanawake ata tukipewa kila mtu wake hatutamaliza.
Kuingia jiji nikashukia pale river road nikaamua route lazma ikue luthuli nioshe macho kabla nirudi commercial! Wrong move!
Pale luthuli katika kuosha macho yellow yellow ikaona suti ikajua apo pesa otas! Kunikaribia ikapata odi kumbe inajua haifai ikaribiwe ama iguzwe mfuko in the name of twende kashot!Apo ndio nliona wazimu. Akaanza kujifanya wazimu ati toa mia ama nilete drama apa umekataa kulipa kuma saa io amenishika mashati! Sikua na change I think ile pesa mkono ukishika kwa trao ya kwanza ndio nilimpea na kuenda stage direct mbio saana! Sipendi kuchafuliwa Cv¡

Karibu Nairobi. Hiyo part ya town is owned by poko cartels

sijui nicheke au nikwambie pole…

Funny short story. Nairobi mji wa wezi na malaya.

Sasa unaona ufisi…ulisafishwa mfuko instead

Nairobi Kuro simuchezo, you exposed yourself ! Pole lakini.

that’s a weird way of saying kikuyu hahahaha najoke mstiniue priss

Next time hapana osha macho njee ya buildings ingia pale Kericho uone hadi unaweza gusa. Wa njee ni shinney eyes wakora

there are no jokes in stereotyping/profiling a certain demographic. shame.

kikuyu detected

yes i am. and i am neither a thief nor a prostitute.

:D:D:D
Uko sure haukuguza?
Anyway hizo ni za macho

you only become a thief when caught

how do you live with yourself? you have a thread saying certain youth should not be profiled and in another…am out.

Mbro…pole. Utalijua jiji.

This is Nairobiensis for you.

Ungeingia SJ mblo… Sasa per diem ulioshwa

Elewa haya maneno mzae. Post-valentine blues zinasumbua. :rolleyes::rolleyes::rolleyes:

WACHA KUTAFUTA MALAYA. PUNDA WEWE
ends USIU na gari…
sit for 15 minutes
offer a lady a drive home… na umgauge na naughty talk
akikataa kukupea vitu rudi parking
works 1/10

Fungua loho priss.