FERRIES COLLIDE No injuries service resumed

Status
Not open for further replies.

Meria Mata

Elder Statesman
#8
Hunanga any good news from Coast? Mara green matatu collided with a Merc at Nyali bridge, mara ni matatu collided with a City Council car and ran away (osungu.gif), mara ni Gor fans hanging dangerously from matatus during bandari v Gor game, now ni ferry zimegongana
gd news from coast ni eti tunatafuta mateja na wakileta nyenyenye tunapiga risasi. You can now walk from mtopanga to mwandoni at night bila uoga.
 
Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

#14
when others are building underwater highways sisi bado tunangangana na hizi maboats za mabati mabati...ati if it breaks down we in deep sht....i hate my country
 
Meria Mata

Elder Statesman
#16
Hunanga any good news from Coast? Mara green matatu collided with a Merc at Nyali bridge, mara ni matatu collided with a City Council car and ran away (osungu.gif), mara ni Gor fans hanging dangerously from matatus during bandari v Gor game, now ni ferry zimegongana
Am the Ktalk Mombasa accidents correspondent, just ask @pamba atakwambia, any accident niko hapo kupiga mbisha na kuupload haraka upesi, political corespondent wetu hapa ni @Da Vinci
 
Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

bjurmann

Village Elder
#17
Kuna siku hako Nyayo kalipoteza controls Na kuanza kuelekeza watu deep sea. Watu wanadhani Ni corner inapiga kumbe wenye wako inje ndio wanaona aaaiii hii arc ferry imechapa Ni wide Sana. People on board hawakuwa wame realize. They started screaming when they saw anatha ferry coming to them. Kalikuwa kanawapeleka Malaysia. Huwa sikaabiri.
 
Meria Mata

Elder Statesman
#18

hizi chombo nikiabiri mimi hushuka kwa gari naicha napanda huko juu. siwes vuka nikiwa ndani ya gari.
 
4makind

Village Elder
#19
ilikuwakuwa aje hizi pantoni zikangongana? The drivers or pilots should undergo an alcoblow test ya ya drugs. Ama ni withdrawal symptoms zinawasumbua
 
Status
Not open for further replies.

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top