filamu aliyoifanya muimbaji wa nyimbo za dini bahati bukuku itazame

[SIZE=7]KIZAZI CHA NYOKA-BAHATI BUKUKU BONGO MOVIE|SWAHILI MOVIES
UTAWALA WA NYOKA-ni filamu kutoka kwa staa wa nyimbo za injili,Bahati bukuku na mastaa wengine kibao wa bongo movie.filamu hii inahusu kisa cha msichana ambaye hakuwa na uwezo wa kupata mtoto,katika kufanikisha jinsi ya kupata mtoto,dada huyu anaamua kuiba mtoto kwa mwanamke waliyekutana njia, kumbe hakujua mtoto yuleyule ni kizazi cha nyoka ambaye anaandaliwa kuwa mrithi wa utawala huu wa nyoka.Je, nini hatima ya mwanamke huyu? Fuatilia kisa hiki hapa.[/SIZE]

PART 1-
https://www.youtube.com/watch?v=0Nr7ZaVOuHw

PART 2-
https://www.youtube.com/watch?v=FOdzw7feAxQ