first female to my Keja (cubical)

as you know many boys after class 8, tulikuwa tunajengewa a small cubical kwa far end of the shamba ama wale wazazi stingy wanakupatiya kitchen ya nje inakuwa ndio keja yako …

sasa after kutoka kukatwa ngozi the only thing this fools who took us there, walikuwa tu wanakushow ukipona lazima ukamuwe mrembo ndio utoe biro aka uchafu kwa d1ck

sasa iyo ndio ilikuwa agenda ya sparta na other small boys…
sasa keja ya sparta ilikuwa imepigwa ngunia all over hadi celing yani keja ilikuwa smart kabisa…halafu bed ilikuwa ime inuliwa na mawe halafu chini umechimba shimo na unaweka tyre za lorry ndio speaker ichape smart…

music system nayo ilikuwa zile Tenje za gari na amplifer…vitu kama Tv hatukuwa tunatambua

sasa sparta aka convience msupa alikuwa anaitwa Kaheni …
she was pretty mellon kwa mbali na haga ilikuwa size yake,

sasa kaheni nikampitisha kwa shamba juu ndio asionekane, kufika keja akakalia bed juu hakuna kiti kwa sparta:)

sasa sparta akaendea soda ya fanta ya one liter, na date ika anza…
apo nilijuwa sparta anararua kitu kutu yote itoke…

sasa kaheni was a decent kind of chic, sasa the mood was right na sparta akapewa hadi first kiss ata kama sparta alikuwa ana drol mate sloppy lakini nilijibamba yangu yote… sasa sparta akajaribu kushika mellons kaheni akanishow we take it slow…

eventually kaheni akanitolea matiti apo ndio sparta alipatwa na exitment hajawai ona. .

sparta na naivity yake akalamba na kunyonya bila kusumbua… then nikaskia Timo uka ugere magutaa maa tawa:(:frowning: (l was called to go buy paraffin)
na vile iyo place ni mbali …:(:mad::frowning:

sasa kaheni naye aka panic na kuanza kuvaa, sasa shida sigetoka nayeye juu akina mathee walikuwa apo…

Dugukaa Timo eeeh :mad:

nikashow kaheni tulia niende mafuta nacome

sad to say sikupewa Slice dat day

na kaheni nilimsneek out late hours kuenda kwao…na alipofika akapewa beating na mathaa yake:(

Before I have even read…woooi Jeso…

:Dni mapema sana soma kwanza

Kwani umetoka jikaze? Au Ndaragwa?

Woooiiii… No kûonga nyodo tu wongire. :D:D

Tamakaaa ndioniree inyamoo:(:frowning:

hehe

TLS wacha nikupe like kama tana hata kama hizi nyangáu zimesema hupati VS hii mwaka.

U mean hakufungua server

:D:D:D

sasa hiyo ndio masaibu ya boy child:D:D:D:D

Hii kijiji itatuonyesha mambo. :smiley: :D:D

kuna ile nyimbo ya wasap ya heshishio we maheni something like that…used to play on kbc aka channel 1 hebu mtu aweke hapa kkama background ya hii story…umenikumbusha psyche ya sex after the cut…wa! even got me remembering the Vaseline like taste ya ngozi ya dame nikinyonya jegi…life has changed a lot
[ATTACH=full]147791[/ATTACH]

tulikuwa tunafikiria kukamua 24/7

nakumbuka nilisumbuana na kamfupa mboch na akininyima …nikaenda nikaiba mzinga home nikamletea ilikuwa late but nilidhani nimeweka some bonga points hadi nikamshow tutachapa pamoja…mdosi sijui aliona aje mzinga akadhani ametuibia…wah sema frakas usiku…nilikaa kwa bed nangoja kuamshwa but wapi…sijawahi taka morning ifike niende shule kama hio day.Nilitoka kurudi mboch ako exile…nilikuwa na tiptop kila mahali kwa nyumba for like a month
[ATTACH=full]147792[/ATTACH]

Na gucuna mukonyo.

Timothy should be knighted ama namna gani sponsors wenzangu?

I bet you never spend time with the big boys before ukatwe. It was akways wise to take the slices ndio uendee soda

niliwavako nilikulana

like a boss

Timothy una vituko kweli