First time kuhandwa na akina nyapdragon

Mtaa ilikuwa ni wamabanda pale Ungwaro. Scene ni somewhere in Kongo (kwa wale wanaelewa hio area) where there was this ka dusty road connecting Gitanga road, the main street passing through Ungwaro 46 and Naivasha road pahali inaitwa stage ya maragoli.

It so happens uncle Thio came visiting and as the norm we decided to go pale klub borabora, kupewa kiasi being a friday ndo tukaribishe weekend. After mi kushika sharba zangu mbili, tukaingia kirabu ma afte with a plan of kukata maji til kedo 6 hivi jioni then tuende kwa mzee Njoro. Story ikawa ni, tukunywe ya mwisho tuende, before iishe, tena waiter leta ingine. A drunk Thio and reality are two parallel entities and this day I knew it won’t be any different as long as bado anaendelea kupewa. Ikafika pahali ikabidi nmuitishie ka naps take away ndo tutoke kwa hiyo kirabu. Kucheck time ilikuwa ma 10 gizani.

So we remove from the club. Being late and appointment na mzee ilikuwa isha fail we had to go straight kwa ka ghetto kangu (that’s what we used to call ka thingira pale mtaani).

So sisi hao tukashika hako ka dusty road kuelekea boy cave, hatujasonga sana hapo mbele kuna kamjengo kanaendelea so kuna mawe, kokoto na mchanga imemwagwa hapo kando then kuna kale ka giza haukuwagi sure kama unatembea ama unapepea juu hauoni any and considering mwezi ilikuwa kwa corner like literally na same time kaulevi pia kako tops, giza was all over.

As we approach the scene, a noisy Thio akaamua kukojoa kiasi. He went ahead to do his thing hapo hapo kwa barabara na sahizo anaimba wimbo za kifala tena very loudly. Invitation for disaster if you ask me. Kumaliza hatukupiga hatua ndefu, we met these two guys who seem to be in a hurry heading the opposite direction, wakatuambia kuna makarao hapo mbele and Thio kama kawaida is like “kwani watatupeleka wapi, wakwende huko”. Kupitana na hao majamaa tukasonga kiasi. Kufika tu mbele ya ile mjengo hivi nikaskia, “nyinyi kujeni hapa” na uncle Thio naye ni nani, akawapatia reply hapo hapo. "Tukuje hapo kwani mumetuoa, sisi hapana malaya yenu (hic). That place was tripple dark hata sikuwa naona nani wanatuita.

Before nmwambia awache umama knowing very well hao lazima wakue makarao na wanakuaga na ushenzi, wakatokelezea wawili wamevaa zile kabuti tulikuwa tunaziita shaft kama zile za Sidney Porter enzi zile. Hapo wakaanza zile zakina @pamba za kawaida, “mnatoga wapi mnaenda wapi wapi gipandilisho gaa chini”. Nkatii na kukaa down lakini mwenzangu Thio akaendelea kubishana. Kuforciwa kukaa chini naye akavurutana na maulevi zake wakaangushana chini. Akaamka, next ile qidero alinyanyuliwa nayo alijua hapa hajui akatulia.

Mimi sahio nshazama ndani ya mbosho nkatoa pori ndo ntowe ID and same time nkatoa tenje nakuirusha hapo kando hoping hawata shikanisha ndo niirudie hii mateso ikikatika. Nkaskia mboyz mwingine amedai “gichana hio nini umerusha hapo chini?” Kumbe wale maboyz wawili tulipitana nao hawakuenda far, plan ilikuwa ni watuweke katikati tusihepe. Mmoja wao ndo aliona nkirusha kitu pale kando. Kabla nijibu, simu ikalia pale kwa nyasi mmoja akaikwachu. The only thing I managed kuona kwa screen before nipewe qidero mbili sambamba ni ‘Waithelelo calling’. Na hivo tu ndo nokia 3210 yangu ilienda. One of the shaft guys akawasha torchi moja refu zile zilikuwa za mabati, na venye zilikuwa zinawaka na moralle, akacheki ndani ya pori akapata noti mbili za finje na ma coins kadhaa. Kidogo nkasikia qidero kwa shavu sahio anauliza kwa nini najaza mashilingi kwa kibeti. All this while Thio ametulia nkama hayuko.

How do you lose two important things at the same minute? ati simu ndo hio inanyakuliwa na Waithelelo pia ananidungia inakuwa missed call. Ile nyap nlikuwa naletewa ikaepuka tu hivo.

Next ikawa ni kupigwa tero kwa mbosho zote, si mujamaa alitoka na pieces mob ndogo ndogo za big G, kumbuka sahio bado mbachu imenasa kama anasa. Nkaketishwa pale.

Uncle Thio was next on line hapo ametulia kama maji ya mtungi. The only thing in his possession was a dirty handkerchief na ile fegi alinyonga akarusha kwa mfuko ya sharti. Inakaa ile naps nlimshikia ilidondoka mahali. Hapo alipokea double shots za qidero. Nkaambiwa nsimame, nigeuke na niangalie kule nmetoka. Before nimalize ku.turn nliskia teke kwa mgongo mimi huyo ndani ya mtaro na ni ile maji chafu ya green. Uncle Thio naye akaambiwa aende mbio mpaka home asiangalie nyuma. Kwa kweli mbio za mlevi huishia mtaroni, he din’t go far. Alianguka kwa the same mtaro pale na akachew.

Hizo majamaa zikateremka upande wa stage ya mluya mbio sahio zinatuita mahumbwa nyinyi, “Tutawanyang’anya hapa mpaka mtii”.

45 Likes

hehehehe,
hope after you sobered you went after this guys

3 Likes

Wacha nicheke before nisome:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:eek:

3 Likes

Hehe he. Kuria wanona ndeto Mayangai

5 Likes

Mbio za mlevi :D:D:D

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D…sawa nondi…hiyo hekaya imeweza mbaya.

2 Likes

Narokotwa.

2 Likes

Hahahaha Double shots Za Qidero.
Hekaya on Boint!!!

2 Likes

Kali hiyo!
:D:D:D

2 Likes

:D:D:D:Dmanze unanimalisa buana

1 Like

Kweli beer makes people equal. Seeing your uncle pee isn’t right

1 Like

:D:D:D:D… Benefits of unblocking kush

1 Like

:D:D:D:D:D
Hekaya fine kabisa

2 Likes

Ha ha haaa ekaya on point kama kawa… ile kitu nko sure ni huezi ona @Female Perspective hapa akipost Hi @kush yule mnono

:D:D

Bril’ hekaya hun. You always deliver.:)will call laterz.

4 Likes

Vintage Kanono. Na mimi hukuambia uache siasa huskii…:smiley:

2 Likes

Ati nyapdragon :D:D:D:D:D:D:D

3 Likes

I have never known walikuwa akina nani

1 Like

… kwa zile supa drums zako ama?