First time Muguka Probox driver perishes in accident.

Yuletapeli

Village Sponsor
#6
Wacha umeffi. You do not have the monopoly of beliefs. Mtu akiabudu ata nzi achana na yeye aabudu do impose your beliefs on him. Typical bonobo amegundua atheism sasa kila siku ni kusumbua wananchi. Shienzi
Nimalisie bayeye kabsa..:D

By the way, huyo jamaa wa probox skipped a very crucial phase... only a few will understand what am trying to say here.
 
Yuletapeli

Village Sponsor
#8
Hata mimi sijashikanisha, itabidi ntafute mmeru, anifafanulie...kuna mrembo mmoja wa kimeria naona pia nita take advantage..
Si Kwa wameru pekee, ancestral land huwa na swara sana...

Heri angechukua loan apeane title but sio kuuza, but again it's paramount that elders are consulted. Land huwa na mambo mingi saidi. Ask me why, hakuna venye God can bless you na kitu itakuumiza, a blessing is not supposed to bring anyone sorrow. Tafakari
 
#9

Lo, hapa nimesoma kitu. And the way i take some things for granted:D....Will have to consult Wazee on serious matters.
 
Heke

Village Elder
#10
Si Kwa wameru pekee, ancestral land huwa na swara sana...

Heri angechukua loan apeane title but sio kuuza, but again it's paramount that elders are consulted. Land huwa na mambo mingi saidi. Ask me why, hakuna venye God can bless you na kitu itakuumiza, a blessing is not supposed to bring anyone sorrow. Tafakari
Very true....elders wa muranga na nyeri wanasemanga haufai kuuza mchanga ununue chuma..... especially if it's inherited land
 
Tom Bayeye

Kinyozi wa Stima Jebedeyo
#13
Wacha umeffi. You do not have the monopoly of beliefs. Mtu akiabudu ata nzi achana na yeye aabudu do impose your beliefs on him. Typical bonobo amegundua atheism sasa kila siku ni kusumbua wananchi. Shienzi
Sawa,inzi ikubless. Wacha umakende ,peleka hasira kwa jamaa zako. Tulia
 
Tia Dalma

Village Elder
#19
Si Kwa wameru pekee, ancestral land huwa na swara sana...

Heri angechukua loan apeane title but sio kuuza, but again it's paramount that elders are consulted. Land huwa na mambo mingi saidi. Ask me why, hakuna venye God can bless you na kitu itakuumiza, a blessing is not supposed to bring anyone sorrow. Tafakari
Huku Rware lazima ubebe hio mchanga pia!
 
Top