FIXED BETS

Vipi wakubwa kuna fixed bets napata base flani… Games ni one at a time alafu odds ni kuanzia 4-5… sometimes pia kuna odds za 2 but ni rare kiasi… Mnatakaje? Ju siwez patiana sare

Kama ni real hauna kitu ya ku lose ukitupea bure…its a win-win. You only lose kama ni fakes…

Fixed bets my ass…

1 Like

How many wins have you had? Kama ni clean sheet zote ingia bettin weka 100k, 100k4=400k,400k4=1.6m 《repeat》
Why do you need our money then @Mzee mzima ama unataka kutucon

okay… wewe bet zikiingia ulete za next time with evidence attatched

1 Like

upus

weka screenshot ya your winnings kwanza

1 Like

Jamaa don’t you think umechelewa kiasi, tofauti yako na wale N.V wamejaribu hii ni gani?

Ubaya ya watu wengine hapa ni kimouthing ndo walipenda…

What 90% of the games are correct na kwa izo akuna odd chini ya 3… Juu mmekereka sana, acha ntajiekea solo ntakua naeka winnings apa

Alafu get this, juu mmepinga, MTU ASIWAI JARIBU KUNIITISHA BET NTAKUTUSI… Mtu ujaribu kusaidia watu, watu wanaleta mchezo kwa kazi

Nikiwapea bure nagain nini?

I need your money ndo nifike io 100k unasema

@admin funga (don’t delete) hii thread kesi nimemaliza,

Winnings ntakua nikiweka, kimtu kijaribu kuniambia oh sijui nisaidie na moja

Inshallah ma bro

:D:D machungu ya nini dadi.Unajua most of us chronic betters tumekua this road of fixed bets na pesa tumepoteza.So story kaa hii ukileta hapa bila strong i repeat strong evidence ya won matches ata mimi ntasema kojolea izo mechi zako…

Uko na mafeeling kama kimama kimegundua bwana yake ako na gachungwa.

3 Likes

Sina machungu ivo ndo mimi ubonga…Otherwise akuna venye ety ntakaa apa niprovie mwanaume njia ya kuunda mullah… Btw ata sikua nataka doh upfront, nlikua nataka napatia mtu bet, ikiingiana ananijenga, so akuna vile ningekula mullah ya mtu apa… Sasa juu mmeleta kichwa, fanyeni aje, ntakua naeka winnings zangu… Isn’t that fair enough? Ndo maana nasema hii kesi tumemaliza

Sasa wewe, lazima nkutukane ndo ujulikane?

Mimi na feelings zangu achana na mimi, ende ukabanje kwingine

Kweni wewe ngombe ya wapi ???this from is anonyanous am not here to be known am not that miserable ,but rest assured i will call you out when you post bullshit.

How is this BS? Explain?

if there is anything i can’t stand is a MITCH!!!

Acha kuitana majina jibu swali yangu… You have called this BS please explain why it’s BS

I don’t know who tf you’re, never seen you commenting on the betting sections lakini unakuja kuhara apa

Btw wewe na awa ma nv wanacomment apa ni time mnawaste, hii kitu nitapatia watu najua c mabomb kama nyinyi