Floyd Mayweather Jr. vs Conor Mc Gregor.

Rolling Stone

Senior Villager
#1
Going down @ MGM Grand on August 26th.

Floyd is 40, Conor is 28. Mayweather's reputation preceeds him. He definitely needs no introduction. He has been hailed as 'the best defensive boxer in the sport', 'most accurate puncher'....hata kuna wendawazimu flani walisema he's 'the greatest boxer of all time'....nikatingisha kichwa polepole nikanyamaza. Hawajui kitu wanaongea. He is not even in the Top 3. Anyway....Floyd is good. Very good too. Lakini,...

....huyu kijana atamuumiza mbaya.
 
AFI

Village Elder
#6

Give us your top 10 boxers then.....
 
Rolling Stone

Senior Villager
#8
Give us your top 10 boxers then.....

1. Cassius Clay
2. Evander Holyfield
3. Mike Tyson
4. Lenox Lewis
5. Vitali Klishcko

...after that it becomes difficult to single out five guyz from the rest of the pack. Some of the greats from kitambo....Sugar Ray, George Foreman, Jack Johnson etc should complete the list....in whatever order.

Bora Joe Frazier asionekane kwa hiyo list. And frankly, Floyd Mayweather can't make the top ten either.
 
WuTang

Village Sponsor
#10

Toa Klithscko kwa hiyo list. Kuna wazito kama Joe Louis, Rocky Marciano, Sugar Ray Robinson, Joe Frazier etc. Roy Jones in his prime was really good too.

#11

Hakuna mtu amewahi piga Klischko ngumi akaanguka kwa canvas. And his first 27 wins in pro. Boxing zilikuwa by KO.....27 straight knock-outs rafiki yangu. Guy was a beast. Halafu nampenda pia juu amesoma sana....ako na PhD. Sasa kazi yake haikuwa kupiga watu mangumi, alikuwa anajijenga ki akili pia...plot pia sana.
 
WuTang

Village Sponsor
#12

IMO, Vitali was a beast, lakini Wladimir, is good but cannot compare to other greats in the division.
 
uwesmake

Village Sponsor
#13
Hakuna mtu amewahi piga Klischko ngumi akaanguka kwa canvas. And his first 27 wins in pro. Boxing zilikuwa by KO.....27 straight knock-outs rafiki yangu. Guy was a beast. Halafu nampenda pia juu amesoma sana....ako na PhD. Sasa kazi yake haikuwa kupiga watu mangumi, alikuwa anajijenga ki akili pia...plot pia sana.

Wacha ujinga kwani the new Tyson aka Joshua alifanya nini ?
 
#15
1. Cassius Clay
2. Evander Holyfield
3. Mike Tyson
4. Lenox Lewis
5. Vitali Klishcko

...after that it becomes difficult to single out five guyz from the rest of the pack. Some of the greats from kitambo....Sugar Ray, George Foreman, Jack Johnson etc should complete the list....in whatever order.

Bora Joe Frazier asionekane kwa hiyo list. And frankly, Floyd Mayweather can't make the top ten either.
Boss, without Sugar Ray Robinson and Rocky Marciano in your top two. That's an invalid list.
 
uwesmake

Village Sponsor
#16
that was Wladimir Klischko. Mimi naongelea brother yake mkubwa, Vitali Klischko....hakuna mtu amewahi muangusha kwa canvas hata kidogo. Wewe huoni, hata hiyo jina tu-Vitali Klischko- sounds like the name of a very dangerous man.

Ni muoga ndio Ali retire mwambie akuje kijana wetu Joshua amuweke kwa canvas