FM 2017 managers

Delus

Village Elder
#1
Nimekasirika sana Leo. Nimefutwa kazi pale arsenal as coach. This was my squad.

De Gea
Bellerin
Thiago Silva
Koscienly
Marcelo
Pogba
Veratti
Bale
Ozil
Hazard
Dybala

Bale alichocha teammates wote form ikashuka. Unai Emery amenireplace.:mad::mad::confused:

Dybala alikuwa amefunga bao 40 na tukashinda ligi
 

wildfrank

Village Elder
#6
:D:Dtrue khocha indeed. Sina hio patience.
Nilipea barca 478 million dollars na messi 30 million signing on fee akakataa:(
messi ata na dawa hawezi..he does not have the preference to play in england......maybe you use the fm editor and change that
:D:D monaco walikuwa wamekataa na lemar but walijua hawaji..bought him for 240m euros

Phrank lewis_ My History Overview.png
 
Top