Nilienda fogo gaucho sometime back na dame Fulani tulikuaga training na yeye story za job. Dame alikua well into her 30's but me hukaa "mature". Na hiyo same ilikua imezoea kunishika sana nikajua hapa training ikiisha lazma nifyeke kufyeka
Ile day kulikua na offer ya all kinds of meat. (Coz am a cheap as mofo) na nikamake sure nimemwambia ni nyama tu drinks ni bei tofauti. (Cheap as mofo alert). Nakuanga very conscious of bill BTW. But me huwa surprise na drinks nimebudgetia baadaye na isipite 500ml. Delmonte / minute maid
Haya coz Mimi ni MTU ya nyama choma. Sijawai jua hawa wahindi, wazungu na mabrazil hukula nyama medium rare. I.E. nyama haijaungua/ nyama soft touch
Hizo ghasia wacha ziletee mkate na baskets. Nikaambia ule dame "just wait for the main course" ndio pesa isipoteelee mkate
Nyama ikianza kukam
.meat ilikua imejaza mafuta man. I asked "what kind of meat is this bruh" akasema "beef". Ngombe ikue imenona hivi kama ile nguruwe @Chloe? Nikachorea iyo roundi. 2nd round nyama ata haijaiva. Sijui mnaletewa nyama ya crocodile
In short usipeleke dame huko. Mpeleke tu creamy inn kunguru ikule icecream ya kawaida. Na view ni ile open.
Sio kama fogo. Unapigwa na joto