juzi juzi mutua akaingia jiji akachokoza ..(though tunajua ni joto ya twendi-twen-tu na kujaribu kupata national appeal)..akasema uhuru "appointees" (read gafana wa nairobi) hawafanyi kazi na wameachililia jiji lichafuke
Nlijua pettiness ya huyu chokosh when he was cut short during JKL live alafu yeye na uchokosh yake goes to his office and starts streaming a facebook live aki expose Passaris.