Huyu Jamaa okari sijui ugali ameharibu biashara kabisa, Sasa no kukadiria hasara na kukula stock literally, nikitomboa hii nitakua 170kgs of pure muscles, one ekihia mwene niotaga[ATTACH=full]249377[/ATTACH]
hehe, mimi apana tambua, ile iko kwa mwili kuliko ile sijakula
Sasa hii ni takataka gani?
jenga mwili General…utiakagwo na mbau.
what is this one saying?
Lmfaooooooo ati “nikitomboa” mungiki ya ocha this one
Nitajenga mwili na stock papa? na ujue hii ndio hubankroll Ile hustle ingine
My tiny friend unanichekelea ile wakati naisha?
Hahaha:D:D. That plate.
Ni Sufuria my fren
Hehee you africans suprise me daily
Semeji banaa rusha nyama kilo kadhaaa
That sufuria has seen better days.
ni sawa shemeji
I am an old hand in meat business, hata ukiwa kamahuha polytechnic hii sufuria was still in business
:D:D
We believe you though inafaa iende retire na wazee wenzake
after kwenda retire niwe nakula mawe
?
Kwani unakulaga sufuria?