For UoN alumni ocs is no more.

RiP comrade,I dont know why they killed him but it may have something to do with club 36 land.

Hii jamaa nilikuwa naisikia nikiwa second year pale Uon.RIP comrade.Na vile ameacha a young family joh.Fuck the Police (pigs)

ni mungiki akina @Motokubwa ndio wamemdedisha. Mungiki hawananga akili

[ATTACH=full]229391[/ATTACH]

Polisi ya kenya ni jinga kabisa G+ material nikama hawakusoma hata number kwa mlango ya class kama ni 1A ,B ama C.kumbafffff!!!

Hizo goons za UoN zi hukataa kugraduate zinaishi campus miaka kumi.

Hio klub 36 ni vibanda za wamama ziko karibu na State House panafaa kuwa na security lakini wapi.

Am here to mourn my high-school class prefect.
FUCK YOU if you killed Samwel.

Rip comrade

Why are people here rushing to implicate the police. Are you privy to information we don’t have?

@Meria Mata ,ulichelewa na news ya club 36 since this attacks started two weeks ago …the poster should come clear with all what transpired and the victims, huyu ocs alikuwa anasoma uon miaka ishirini.

wacha watu wasome at their own pace nanii.

Aliingia UoN 2008

Halafu?

Wacha bangi! 5 Oct 2009

Hadi saizi alikua anafanya nini huko.

babu aliingua UoN lini?na bado ako huko.

Wenzake bado wanaharass traders wakule tax. Ndege sirkal ako wapi