Foreign couple killed around MeriaMata's backyard

masaku

Village Elder
#11
Maybe walichelewa kutoka sanctuary...which is highly unlikely coz the place is safe.

Maybe wakali kwanza which i highly doubt they can go that far,hapo tuu juu kwa stone to turky base the place is well lit na mataa usiku.

Its scary but am sure since ni wazungu hii kitu itafuatiliwa mbaya...may there souls R.I.P
 

xuma

Village Elder
#17
Ile nimeona Leo ni ma kubwa..
It's so sad
Makubwa kama... ? Kuna kipofu mmoja katika hekaya za abunwasi alipata nafasi ya kuweza kuona mara moja tu na upofu ukamrudia. Kile alichokiona aliambiwa ni punda na akastaajabia sana kiumbe kama hicho. Ikawa kila mara akiambiwa uzuri, ubaya, udogo au ukubwa wa kitu chochote yeye hudakia na kuuliza ........ Mzuri,kama punda?; Makubwa kama punda?; Mabaya kama punda?
Makubwa kama......?
 

Top