Nikiwa form two i was given a suspension .my dad alikua wembe kaa angeskia
nimepewa sus sijui ingekuaje..nlienda exile kwa uncle yangu claiming i
was sick..siku ya kurudi nikingoja viboko nikakomboa boda boda.tukaenda
vizuuuri...tukafika mwenye tulipangana na yeye alianza akalimwa zake
karibu30 akatoka na mamake..i was next nikaitwa...soo confused
nikaingia na boda boda..tukaanza kesi .in the middle of kesi principal
akauliza.."what is the name of your boy?!"..damn.n sikua
nimemshow.msee wa boda akaniangalia n akaangalia principal.nimetense
nasweat tu!!.nasema kwisha sisi..huyo msee wa boda aliamka na kofi!!
Pah!! Nikaona giza.."nikulipie fee tena nikusemee jina kijana!"..hadi princi
akamshow "dont kill the boy"...kwenye uko bro.you are my hero..