Form ya socialites!

#1
Wadau ...kuna socialites wamekaa na mimi na inakaa wanatafuta form. Sijui nifanye nini. Nimelewa yangu yote. Nimejaribu kupiga picha lakini ni shine eye sana wanaangalia pande yangu vi-ajab.

Leo ni Tuesday na hakuna mall karubi. Welp!?
 

Top