free .ke domain , 100 mb hosting @ kes 599 per year

Gurus saidieni mimi . These guys https://transworldafrica.com/domains/cart.php?a=add&pid=22 wanataka kunipatia hii yote for 599 pekee yake mwaka mzima. Has anyone used them? Are they reliable? Asande
[ATTACH=full]81980[/ATTACH]

1 Like

Biashara…mimi nanata atleast 3gb, 100 mb ni kidogo sana…

1 Like

100mb is too little even for email storage

2 Likes

how is it free if you are paying 600/-?

Si vitu mingi hapo
*100mb disk space ama nini?
*.ke domain(hii ndio inakula pesa)…na si free wanakuchezea tu
*unlimited emails??hii wanamaanisha EMAIL ACCOUNTS ama emails???Hakikisha ni EMAIL ACCOUNTS!
*Free website builder??Wordpress,Joomla,Django,Cpanel ndio wanasema na zote ni free online
*Unlimited ftp accounts??Hii wameweka ju wanajua hautatumia more than 3 ata so wanakuchezea tu.
*Cpanel…hii ni standard kwa any host utaenda
*webmail…hii pia ni standard kwa any host utatumia.

So 600 ni ya 100mb disk space na kulipa ‘KENIC’ domain…
Jaribu Safaricom na kama hiyo package yao ya 600 utaona haitoshi ukifungua site yako unaeza upgrade to package poa ingine mara pap!

2 Likes

These overly cheap domains, are hosted on a single server. When its IP gets blacklisted for spam et all shida kwako. Mails bouncing back, or lingering in limbo (that place no error is generated but the mail was never received) etc…

Cheap is expensive, if you are running a serious business get your domain hosted by a reputable company.

3 Likes

Ati 100mb. Kwani wanatumia flash disk za China kama server.

4 Likes

Asante NV. Nitafanya ivo

1 Like

the kenic guys always advertises theirs @599 and when you check you find that its 1k, so nashangaa. go to godaddy, u will see the difference