Free to air epl

#9
Aki hii group. Ku suspect mtu tu. Mmebarikiwa.. mi ni fun wa mpira sana epl sana. Nilinunua 8ft dish nikafungiwa sport 24 kitambo. Ilivyopotea ikawa iko useless tu apo inje. Sa kuuulizia tu ntapata wapi fta channel yenye naeza angalia nayo game imekua shida. Ai jamani watu wa Kenya
 
Last edited:

Top