Ligi ndo hio imeanza. Wasee fta. Kuna sat maybe itatu favor wasiopenda kulipa. Yani fta channel
Identify yourself.
kuja na handle yako ya ukweli ndio upewe usaidizi
3 msgs since 2016
Huyu ni dstv agent
Ghaseer takataka
Hii inaeza kuwa agent wa multichoice
[ATTACH=full]253971[/ATTACH]
Tunamwonea 18
umetumwa na nani?
Kuja kama wewe utapata usaidizi
Aki hii group. Ku suspect mtu tu. Mmebarikiwa… mi ni fun wa mpira sana epl sana. Nilinunua 8ft dish nikafungiwa sport 24 kitambo. Ilivyopotea ikawa iko useless tu apo inje. Sa kuuulizia tu ntapata wapi fta channel yenye naeza angalia nayo game imekua shida. Ai jamani watu wa Kenya
Si uniuzue hiyo dish
mi nataka usaidizi ka ntapata channel ya mpira epl sana. Nisaidieni wadau hii dish isilale
the replies though… :D:D
Rudi nyumbani Baba Mwajuma…
Rudi nyumbani Baba Mwajuma…
Kwa Ktalk ambayo imekunjenga…
Remember that song?