kina oumtiiiiti… wamefika home, its just crazy … zile boda zinawaescort ni za nguvu my Frens
mbisha or its not happening
[ATTACH=full]184049[/ATTACH]
Zile simu zimeibiwa kwa hio crowd.Wacha tu.
Hapa hata kama ni mimi, losing a phone is immaterial. Hii happyness ni noma.
Dang ! ! !
This picture
[ATTACH=full]184164[/ATTACH]