kuna kazi ya data analysis nafaa kufanya lakini leo ni kama akiliniko blank. so nkaamua kupita hapa kwa local nione kama brain itakuwa energized ama italuwa dull. so kwa niaba ya @cortedivoire munalewa wapi leo. mimi ni chrome lime hapankwa corner.
either uweke mbicha au NGOMBE FALA NI FALA TUUUUUUUUUUUUUUUUUU
[ATTACH=full]72048[/ATTACH]
1 Like
Ei msee, uko giza ishaingia? Pwegegegege
2 Likes
DO1 , tofauti ya chrome na changaa ni nini ?
5 Likes
Ni packaging
5 Likes
PANYA YA WENGER SIJAKUULIZA WEWE
toto. ngoja mum atoke job unyonye. sawa?
5 Likes
umepata mbisha sa tulia
nani amekuuliza ?
5 Likes
All The Best
3 Likes
Kwani hujui kusoma. Si timeulizwa tunakunywa wapi.
[ATTACH=full]72056[/ATTACH]
Pombe niliachar
4 Likes
MISCHIETH hauna meza ?
Nina kiu noma since Monday and I only drink past 6pm.sasa ni kuangalia saa tu nakujifanya busy
Mambo ya uswahilini huyawezi
leo ni one of those days…
pombe +mimi= arrested
1 Like
The throat is so dry. Ten minutes to beer ocklock.
Long weekend ianzie kwa bar.