From the frying pan into the fire

Kirwa

Village Elder
#1
Hiyo siku nilikuwa nafanya job ingine zone 8 pale umoja karibu na bee center, kuna nyumba tulikuwa tunanjenga.Job ilikuwa imeshika ile mbaya,nilikuwa naharakisha majamaa wa mungich wafanye kazi haraka coz ni wasee wa njaro sana.Hizo enzi hao majamaa ndio walikuwa wanatawala eastlando yote.You would have employed a dude at 7 but by 10am,he is missing only to reappear at 4.30 in the evening demanding his pay.
Kidogo kidogo nikaskia kanjoo ndio hao,hata sikuangalia kama ni ukweli ama uwongo,I followed my workers mbio tukihepa.sisi hao mbio,Mimi ndio nilikuwa wa mwisho,nikaskia twaaa twaaa risasi mbili zikapigwa juu.Nikajua mimi kwisa.Kumbe hawakuwa kanjoo,they were cops from the dreaded kwekwe squad who were tasked with hunting down mungiki members. Nikajua hapa sitasimama juu ingekuwa noma saidi kwa kuchokesha afisa akitukimbiza.
Niliona kachuom mbele yangu nikaenda kama nimeingia mbio mbio bila hata kuangalia nyuma,makosa narudia blunder,niliona probox imepakiwa mwisho wa hako kabarabara na kimoda mwenyewe voiyo,who was the leader of that team amenipoint na pistol.
Nilikimbia tu kwa boot direct,kulikuwa na mafundi wengine wangu kama kumi walikuwa ndani.Wale makarao wengine wakakuja na rende yao,hiyo boot tulikuwa watu karibu 20.kufinyana mpaka hewa unakosa.sisi hao tukapelekwa morlem kwa ile police post yao na kufungiwa huko.Thao kumi yangu ilienda tu hivyo nisiandike Mimi ni mungich.
 
Top